Jamii

Matunzio ya picha kwenye Zana ya Earth Defenders

Matunzio ya picha kwenye Zana ya Earth Defenders ni nafasi wazi kwa jumuiya kuchangia maudhui ya picha juu ya kazi zao zilizo katika mstari wa mbele.

Jukwaa la Zana ya Earth Defenders

Jukwaa la Zana ya Earth Defenders ni nafasi ya ushirikiano katika jamii za mitaa kwa kuwashirikisha juu ya zana na mbinu ambazo zimefanyiwa kazi na kutoa mafunzo kutoka kwa jamii nyingine. Fikiri hapa kama mahali pako pa kushiriki maarifa na uzoefu na jumuiya nyingine kote ulimwenguni ambazo ziko mstari wa mbele kutetea maeneo yao, mifumo ikolojia na riziki zao. Tafadhali jisikie huru kuandika katika lugha yako ya asili.

Pia tuna kituo cha umma cha #earthdefenderstoolkit kwenye Discord ya Digital Democracy, hapa.

Uchunguzi katika Jamii

June 29, 2021 ECA-Amarakaeri: Kufuatilia Hifadhi ya Jumuiya ya Amarakaeri nchini Peru
June 29, 2021 Matawai: Usimulizi wa hadithi kulingana na mazingira huko Suriname
June 29, 2021 Waorani: Kuchora Ardhi za Wahenga nchini Ecuador