Zana ya EARTH DEFENDERS TOOLKIT

ni nafasi ya ushirikiano kwa jumuiya za watetezi wa ardhi na washirika wao

JIFUNZE ZAIDI

ZANA ZILIZOTANGAZWA

MAPEO

Mapeo iliundwa na Earth Defenders kwa washirika wa Earth Defenders kuweka kumbukumbu za habari za mazingira na haki za binadamu kwa urahisi na kukusanya data kuhusu ardhi yao.

ZANA ZILIZOTANGAZWA

TERRASTORIES

Terrastories ni programu maalumu kwa jamii kuwawezesha kuweka ramani, kulinda, na kueleza ardhi yao. Programu hii inaweza kutumika na watu binafsi au jumuiya zinazotaka kuunganisha maudhui ya sauti au video kwenye maeneo na ramani.

ZANA ZILIZOTANGAZWA

COMMUNITY LANDS

Community Lands (Ardhi Ya Jamii) ni zana ya usimamizi na uangalizi wa tovuti ya jamii yenye kuchapisha habari kuhusu mtindo wa maisha, habari na hadithi za vitisho pamoja na changamoto zinazowakabili, na juhudi zinazofanyika kulinda ardhi zao.

Kukuza Jumuiya zilizo Mstari wa mbele

Chunguzi zilizofanyika katika siku za karibuni

  Endelea Kuhabarika

  Jiunge na orodha yetu ya barua pepe ili kupokea habari za mara kwa mara kwenye Zana ya Earth Defenders.


  Oktoba 11, 2022 Waorani: Kuchora Ardhi za Wahenga nchini Ecuador
  Oktoba 2, 2022 ECA-Amarakaeri: Kufuatilia Hifadhi ya Jumuiya ya Amarakaeri nchini Peru
  Oktoba 1, 2022 Matawai: Usimulizi wa hadithi kulingana na mazingira huko Suriname

  Shukrani: Zana ya Earth Defenders inajengwa kwa mshikamano, mashauriano, na uundaji wa pamoja na jamii za wazawa kutoka Amerika Kusini, Asia, na Afrika maeneo ya kusini mwa Jangwa la Sahara katika kila hatua. Tunawashukuru sana washirika wetu ambao wanajitahidi kufikia mabadiliko, na kutusaidia kuelewa jinsi tunavyoweza kuhudumia mahitaji yao vyema zaidi.


  Zana ya Earth Defenders imewezeshwa kwa usaidizi wa washirika wetu

  Mradi Kutoka
  Washirika wa Cocreation
  Washirika wa Zana
  Wafuasi Waanzilishi

  Machapisho ya Hivi Karibuni kwenye Blogu

  Novemba 18, 2022 New Tool: Mapeo Icons Generator
  Novemba 16, 2022 Earth Defenders Toolkit now available in Khmer, Swahili, Thai and Vietnamese 🗺️
  Septemba 28, 2022 We are hiring an Earth Defenders Toolkit Community Steward!